Home > Terms > Swahili (SW) > mashua ya mchuzi

mashua ya mchuzi

Ni mashua yenye umbo la mtungi ambayo mchuzi au supu ni hupakuliwa. Mara nyingi hukaa juu ya sahani zinazolingana , wakati mwingine hukutanishwa na mtungi, ili kukamata mchuzi inayomwagika. Baadhi ya boti supu pia hufanya kama kichungi ya supu, na pua ambayo hutoka kutoka chini ya chombo, hivyo basi kuacha mafuta yoyote ya juu nyuma.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Easter

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...

Featured blossaries

English Quotes

Category: Arts   2 1 Terms

Names of God

Category: Religion   1 10 Terms