Home > Terms > Swahili (SW) > sifa

sifa

malipo ambayo Mungu hutoa kwa wale wampendao na kwa neema yake kufanya kazi nzuri. Mtu hawezi "sifiwa" kuhesabiwa haki au uzima wa milele, ambayo ni zawadi kutoka kwa Mungu, chanzo cha sifa yoyote tuliyo nayo mbele ya Mungu ni kutokana na neema ya Kristo ndani yetu (2006).

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Religion
  • Category: Catholic church
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Culture Category: Popular culture

Mpendwa Abby

Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...